Tuesday, August 22, 2017
Monday, August 07, 2017
Thursday, June 29, 2017
Mwigizaji afunguka kuhusu Mkuu wa Mkoa wa DSM
Saturday, June 17, 2017
Maandalizi ya Mashindano ya Kivule Star Search (KSS)
Mashindano ya Kivule Star Search (KSS) yazidi kupamba moto,,, Mshiriki YAMBAZI RB. akifanya yake
Friday, April 28, 2017
Dolphin Munungu /Mzee Kijana kurudisha muziki wa RUMBA
Dolphin Munungu maarufu kama Mzee Kijana anayefanya muziki wa RUMBA na pia ni mwandishi wa nyimbo hizo, Amefunguka kuhusu wanamuziki wanaofanya muziki huo hawatendei haki ipasavyo kwa kuandika nyimbo zisizo ilenga jamii.
Aliendelea kueleza kuwa anajitahi kutunga na kuimba nyimbo zinazoelimisha jamii ya sasa na vizazi vijavyo.
Kwa sasa yuko mbioni kuachia kibao chake kipya kitakachotambulika kwa jina la (SIJALI) ambayo hiko tayari katika audio na video, iliyosimamiwa na Director Kiloman Kilolo.
Hakusita kusema kwakujiamini kuwa muziki wa RUMBA anaurudisha hadhi yake rasmi.......Mhalili Mapala Simba@@
Tuesday, April 18, 2017
Mkurugenzi wa Power Africa Entertainment afunguka kusu tamthilia ya LEO
MKURUGENZI wa company ya Power Africa Entertainment KILOMAN KILOLO, amefunguka kusu tamthilia hiyo na kusema ni yenye kufurahisha, kuhuzunisha na kuburudisha, na kuongeza kuwa ndio tamthilia pekee hinayogusa maisha ya Mtanzania kwa kila siku, kwa sasa yuko kwenye maandalizi ya msimu wa tatu (3) wa tamthilia hiyo inayotambulika kwa jina la LEO. SEASON 3 SOON