Monday, March 27, 2017

Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara Azungumza na Wanachi wa Jimboni kwake

Mbunge wa Ukonga Mwita Waitara alizungumza na wananchi wa ukonga akiwa kwenye gari, na kata ya Kivule kupokelewa na Katibu mwenezi CHADEMA Kata ya Kivule, na leo anaelekea bungeni kuendelea kutupigania...










No comments: