Mwigizaji kutoka company ya Power Africa Entertainment amefunguka yake kutoka moyoni kuhusu mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam POUL MAKONDA.
Akizungumza na Chombo chetu cha habari kiitwacho presstz amesema kuwa Makonda anafanya kazi nzuri na kuokoa vijana wengi wanaojiusisha na utumiaji wa madawa ya kulevya.
No comments:
Post a Comment