Dolphin Munungu maarufu kama Mzee Kijana anayefanya muziki wa RUMBA na pia ni mwandishi wa nyimbo hizo, Amefunguka kuhusu wanamuziki wanaofanya muziki huo hawatendei haki ipasavyo kwa kuandika nyimbo zisizo ilenga jamii.
Aliendelea kueleza kuwa anajitahi kutunga na kuimba nyimbo zinazoelimisha jamii ya sasa na vizazi vijavyo.
Kwa sasa yuko mbioni kuachia kibao chake kipya kitakachotambulika kwa jina la (SIJALI) ambayo hiko tayari katika audio na video, iliyosimamiwa na Director Kiloman Kilolo.
Hakusita kusema kwakujiamini kuwa muziki wa RUMBA anaurudisha hadhi yake rasmi.......Mhalili Mapala Simba@@
No comments:
Post a Comment